Uandishi na Uhariri Mbinu na Nadharia
Original price was: KSh500.00.KSh480.00Current price is: KSh480.00.
Uandishi bora hutegemea uhariri bora wala si bora uhariri. Uandishi na Uhariri: Mbinu na Nadharia ni kazi ya kitaaluma ambayo imeandikwa na waandishi, wahariri na wananadharia wenye weledi mkubwa katika masuala ya lugha.
Description
Uandishi bora hutegemea uhariri bora wala si bora uhariri. Uandishi na Uhariri: Mbinu na Nadharia ni kazi ya kitaaluma ambayo imeandikwa na waandishi, wahariri na wananadharia wenye weledi mkubwa katika masuala ya lugha. Ushirikiano wao umedhamiria kuziba nyufa zilizoko kwenye fani ya uandishi, uhariri na nadharia. Matarajio ya waandishi wa kitabu hiki ni kuwawezesha wanafunzi na wataalamu wa Kiswahili kuelewa fika mbinu za uandishi, uhariri na nadharia.
Reviews
There are no reviews yet.