Samahani Na Hadithi Nyengine
Original price was: KSh600.00.KSh550.00Current price is: KSh550.00.
Samahani na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi zinazoangazia masuala mbalimbali katika jamii yetu. Waandishi wameonyesha upeo wa ubunifu kwa hadithi sisimuzi zilizoshiba mafunzo na maarifa. Matarajio yao ni kuwa wanafunzi wa sekondari na vyuoni watafaidi pakubwa.Sussy Nandama Sumbi, Timothy Omusikoyo Sumba na Kikechi Kombo ni weledi katika uhariri, uandishi na ufundishaji
wa fasihi shuleni na vyuoni.
Description
Samahani na hadithi nyingine ni mkusanyiko wa hadithi zinazoangazia masuala mbalimbali katika jamii yetu. Waandishi wameonyesha upeo wa ubunifu kwa hadithi sisimuzi zilizoshiba mafunzo na maarifa. Matarajio yao ni kuwa wanafunzi wa sekondari na vyuoni watafaidi pakubwa.Sussy Nandama Sumbi, Timothy Omusikoyo Sumba na Kikechi Kombo ni weledi katika uhariri, uandishi na ufundishaji
wa fasihi shuleni na vyuoni. Sussy Nandama Sumbi ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Timothy Omusikoyo Sumba alikuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Howard. Kikechi Kombo ni mkufunzi katika chuo cha ualimu cha Thogoto, Kikuyu.
Reviews
There are no reviews yet.