Uhai Mwengine
Original price was: KSh480.00.KSh450.00Current price is: KSh450.00.
“Mkosaji ni yeye mwenyewe! Anacho kisasi dhidi ya nafsi yake mwenyewe. Nafsi iliyomshinda kuidhibiti, ikamuangamiza .Hayo ndiyo machweo ya adhuhuri yaliyomchwea Mwanahalima na kuikatiza siku yake. Je, mwanaadamu anaweza kufa, afufuke na aishi uhai mwingine? Je uhai huu mwingine ni kama wa awali? Jamii nayo inaweza kufa, ikafufuka na kuishi uhai mwingine? Soma riwaya ya Uhai Mwingine ili ikufumbulie mafumbo mengi yaliyofumbatwa kifasihi.
Description
“Mkosaji ni yeye mwenyewe! Anacho kisasi dhidi ya nafsi yake mwenyewe. Nafsi iliyomshinda kuidhibiti, ikamuangamiza .Hayo ndiyo machweo ya adhuhuri yaliyomchwea Mwanahalima na kuikatiza siku yake. Je, mwanaadamu anaweza kufa, afufuke na aishi uhai mwingine? Je uhai huu mwingine ni kama wa awali? Jamii nayo inaweza kufa, ikafufuka na kuishi uhai mwingine? Soma riwaya ya Uhai Mwingine ili ikufumbulie mafumbo mengi yaliyofumbatwa kifasihi. Riwaya hii inaangazia vijana wanaojikuta wametekwa na nguvu za matamanio. Mvutano kati ya matamanio ya mja na wajibu wake ni chanzo cha kuchanganyikiwa na kutatizika kifikira na kimaamuzi. Katika hali ya kutojijua wala kutaka kujijua, mkono wa bepari (mkono wa kutumia ili kuchumia) unawaathiri
vijana. Ama kweli, “mtu asiyekuwa na lengo maishani huambulia popote,” chambilecho Malcom X.
Reviews
There are no reviews yet.