Usawiri chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria
Original price was: KSh550.00.KSh500.00Current price is: KSh500.00.
Usawiri chanya wa Mwanamke katika Methali za Igikuria ni makala kwa ajili ya kumtukuza mwanamke katika jamii. Usawiri wa utukufu wa mwanamke katika methali za Igikuria umedadavuliwa huku mifano mwafaka ikitolewa. Kimsingi, mwanamke amemegewa nafasi yake katika ulimwengu wa sasa. Mwanamke anachangia pakubwa katika malezi na maendeleo ya jamii.
Description
Usawiri chanya wa Mwanamke katika Methali za Igikuria ni makala kwa ajili ya kumtukuza mwanamke katika jamii. Usawiri wa utukufu wa mwanamke katika methali za Igikuria umedadavuliwa huku mifano mwafaka ikitolewa. Kimsingi, mwanamke amemegewa nafasi yake katika ulimwengu wa sasa. Mwanamke anachangia pakubwa katika malezi na maendeleo ya jamii. le, ni nani asiyejua
kuwa mwanamke ni nguzo muhimu katika shughuli za kuendeleza jamii tangu jadi? Mwanamke ni dira ya kuongoza na kuielekeza jamii. Pia, ni kiungo muhimu katika kufanikisha shughuli za kiuchumi, kisiasa na kisosholojia. Ufafanuzi wa methali za Igikuria, umedhihirisha utukufu wa mwanamke katika miktadha mbalimbali ya jamii ya Wakuria.
Reviews
There are no reviews yet.