TUNU Publishers

TUNU

Publishers

Your Selected Books

Subtotal: KES 0.00
Home Authors Gilbert Kipkulei Serem
Author

Gilbert Kipkulei Serem

About Gilbert Kipkulei Serem

Gilbert Kipkulei Serem ni mwandishi wa kazi bunifu za fasihi ya Kiswahili. Amesomea taaluma ya ualimu, tahasusi ya Kiswahili na Historia katika Chuo Kikuu cha Eldoret. Ameandika riwaya Dau Lazama na kushiriki katika uandishi wa diwani ya Wasifu wa Timothy Omusikoyo Sumba na ya Taswira ya Maisha na Hadithi Nyingine (Wasifu wa Timothy Omusikoyo Sumba) 2 na 10. Isitoshe, ameshiriki katika uandishi wa diwani ya Mwisho Wake na Hadithi Nyingine na Funguo za Pingu Moyoni na Hadithi Nyingine.

Author Details

Books by Gilbert Kipkulei Serem

2 published books

Other Books

Other titles associated with Gilbert Kipkulei Serem

Dau Lazama Wasifu wa Timothy Omusikoyo Sumba Mwisho Wake na Hadithi Nyingine Funguo za Pingu Moyoni na Hadithi Nyingine