TUNU Publishers

TUNU

Publishers

Your Selected Books

Subtotal: KES 0.00
Home Authors Hamdan Mohamed Juma
Author

Hamdan Mohamed Juma

About Hamdan Mohamed Juma

Hamdan Mohamed Juma ni mwalimu na mwandishi kutoka Mombasa, Kenya. Ana shahada ya B.Ed (Arts) katika Kiswahili na Dini kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta. Amejikita katika uandishi wa mashairi na hadithi fupi za Kiswahili, akichangia sana katika utamaduni wa fasihi ya Kiswahili. Amefunza katika Shule ya Upili ya Allidina Visram na Shule ya Upili ya Qubaa Muslim Mombasa, akihamasisha vizazi vipya kupitia elimu na fasihi.

Author Details

Books by Hamdan Mohamed Juma

1 published book