Chaurembo ni diwani maridadi yenye mashairi sisimuzi. Tungo tamu zimejikita katika maudhui ya dini, falsafa, utamaduni, jamii, historia na uchumi. Diwani hii inaihuisha enzi ya shime ya ushairi wa pwani hususan Mombasa ambapo washairi hodari walijibizana na kulumbana. Mtunzi wa diwani hii ni mmojawapo wa wababe wa enzi hizo. Kalamu yake inatuonjesha ladha tamu ya ushairi wa zama hizo. Kimsingi, diwani hii ya Chaurembo, inaunganisha vizazi vya washairi wa Kiswahili na kuzikutanisha karne za ishirini na ya ishirini na moja kwa mashairi adhimu. Diwani inamsafirisha msomaji katika ulimwengu wa mashairi yenye ladha aula. Ubunifu uliomo hauna kifani na umepiku nyinginezo za awali.
Poetry
Junior Secondary
General
Chaurembo
KSh 500.00
Book Details
Pages : 151
Language : Swahili
Description
About the Author
Meet the author behind this title
Rajabu Ali Mattaza
Rajabu Ali Mattaza almaarufu Rajabu Pilau , alizaliwa Takaungu, Kilifi mwaka wa...
View Author
Reviews on Chaurembo
Explore authentic reader thoughts and share your own perspective.
No reviews yet
Be the first reader to share your thoughts about this book and guide others.
You May Also Like
More titles from our catalog
Junior Secondary
Samahani na Hadithi Nyingine Sussy Nandama Sumbi , Timothy Omusikoyo Sumba, Kikechi Kombo
KSh 600.00